Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Professa. John Kondoro, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua rasmi Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Professa. John Kondoro, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wapili kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga (wapili kulia) Prof. John Kondoro mtunzi wa kitabu cha ‘Quantum Machenics’ na Makamu Mkuu wa Chuo cha DIT, Prof. Christian Nyahumwa (kushoto) wote kwa pamoja wakifurahia baada ya Makamu kuzindua kitabu hicho, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam leo, Septemba 22.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha kitabu cha ‘Quantum Machenics’ baada ya kuzindua kitabu hicho kilichotungwa na Prof. John Kondoro, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbu wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi kitabu cha ‘Quantum Machenincs’ Makamu wa Chuo cha DIT, Prof. Christian Nyahumwa, ambao ni miongoni mwa watu wa kwanza kununua kitabu hicho kilichotungwa na Prof. John Kondoro, wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maprofesa wa DIT baada ya uzinduzi wa kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Prof. John Kondoro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
No comments:
Post a Comment