Wednesday, February 22, 2012

MDAU SALUM SULEIMAN LYEME NA FAMILIA YAKE YAKUMBUKA MIAKA 23 YA KUONDOKEWA NA MPENDWA MAMA YAO!

Ni miaka 23 sasa tangu umetutoka lakini sisi kama watoto wako pamoja na baba ulietuacha huku tunaona ni kama jana tu umeondoka maana umeenda kimwili lakini kiroho bado tupo nawe, na kamwe hatutaacha kukumbuka malezi yako bora!


Tukiwa kama familia (watoto wako pamoja na mumeo (baba)) daima hatuishi kukuombea DUA njema kila kukicha upate kupumzika kwa kwa amani huko uliko.


Ni matumaini yetu mungu anasikia dua zetu MAMA


Ni sis wanao wapendwa Mariam, Hussein, Salum, Mariam Hawa pamoja na Baba yetu (mumeo) Sheikh Suleiman haatuna la zaidi ila ni dua tunakuombea


INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJIUN.

No comments:

Post a Comment