Sunday, October 23, 2011

CCM SASA HAKUNA KULALA 'ZIARA YA NAPE UKEREWE YAFANA'.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, Queen Mlozi baada ya kuwasili jana kwenye Kivuko cha Nansio Ukwewe kwa ajili ya ziara ya siku moja wikayani humo.
Mkuu wa wilaya ya Ukerewe, Queen Mlozi (kulia) akimpa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape alipofika kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, jana. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa MwanzaClement Mabina.
                Nape akipinga ngoma kuunga mkono kikundi kilichokuwa kikitumbuiza kwenye mkutano huo.
Msanii wa kundi la Utandawazi Matugacha, akionyesha umahiri wa kupiga ngoma kundi hilo lilipotumbuiza wakati wa mkutano huo wa CCM uliofanyika kwenye mjini Nansio, Ukwerewe mkoani Mwanza.
Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Getrude Mongela, Nansio, Ukererwe mkoani.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela mjini Nansio, Ukerewe mkoani Mwanza.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela mjini Nansio, Ukerewe mkoani Mwanza.
Nape na Mwigulu wakiwaaga wananchi wa Nansio kabla ya kuondoka katika mji huo kwa Mv Samar kwenye kivuko cha Nansio mwishoni mwa ziara ya siku moja wilayani Ukerewe.

No comments:

Post a Comment