Tuesday, September 27, 2011

MBWANA NA MIYAYUSHO WATAMBULISHA MPAMBANO WAO!

Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla kulia wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Mabara (UBO) Dar es Salaam , utakaofanyika mwishoni mwa mezi ujao katikati ni mratibu, Mohamed Bawazir. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment