Wamiliki wa vyombo vya habari nchini wametakiwa kufuata maadili na kuondokana na suala la uchochezi wa ukabila na dini ili kufikisha ujumbe kwa jamii wanayoikusudia bila uwepo wa matabaka.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wakikabidhiwa leseni za umiliki kutoka mamlaka ya mawasiliano nchini, wamiliki wa redio kutoka sehemu mbalimbali nchini wameeleza changamoto wanazokumbana nazo ikiwa ni pamoja na mgao wa umeme
Aidha wamiliki walipewa usajili huo wameeleza kufurahishwa kwao ikiwa ni pamoja na kuwataka wamiliki wenzao kuwa na ushirikiano.
No comments:
Post a Comment