Wizara ya Mambo ya ndani kupitia kitengo cha Uhamiaji kimetoa mafunzo ya maadili kwa watumishi wa umma wa Mkoa wa Dar es salaam yenye lengo la kujadili mapungufu yanayojitokeza katika kazi ili kanuni na taratibu zifuatwe katika kuboresha na kuleta tija kwa taifa.
Akizungumza katika semina kuhusu maadili ya kazi kwa watumishi wa umma, Kamishna Mkuu wa Uhamiaji MAGNUS ULUNGI.amesema katika maisha ya kila siku, watumishi wa umma wanapaswa kuzingatia uwajibikaji, uadilifu,matumizi bora ya mali za umma sambamba na utoaji huduma kwa wateja.
No comments:
Post a Comment